Katika siasa za Marekani, tembo wa chama cha Republican na punda wa chama cha Democrat wanasimama kama alama tofauti zinazoakisi utambulisho na nafasi za vyama hivyo viwili. Alama hizi sio tu kauli ...
Serikali ya Kenya imetangaza marufuku ya uchinjwaji wa punda nchini humo ili kuzuia kutokomea kwa wanyama hao ambao idadi yao inasemekana kupundua. Waziri wa kilimo Peter Munya alitangaza kufungwa kwa ...
Hatua hiyo imesaidia idadi ya Punda kuongezeka na kurudisha matumaini kwa wafugaji wanaotegemea mnyama huyo muhimu. Ngozi ya Punda ina hitaji kubwa katika masoko ya uchina kwa utengenezaji wa dawa ...
Maisha yake Pauline Kiryali yalisimama wakati punda wake wawili waliibiwa kutoka Kakululo, Kaunti ya Kitui, na kwa kuwa yeye ni mama mzee na mwenye ulemavu, changamoto za kulea watoto watatu kupitia ...
Nchini Kenya punda wako katika hatari ya kuangamia na kupungua idadi ifikapo mwaka 2023. Takwimu rasmi zinaashira kuwa punda hao wanachinjwa kwa kasi iliyo mara tano zaidi ya uwezo wao wa kuzaliana na ...
Maelfu ya wakulima ambao ni wafugaji wa punda nchini Kenya wameelezea afueni kufuatia marufuku iliyotangazwa na waziri wa kilimo wa nchi hiyo dhidi ya machinjio ya punda nchini kote Kenya. Mashirika ...
Katika makala haya tunaangazia haki za mnyama punda ambaye ametejwa kuwa muhimu sana katika sekta ya uchukuzi na hata kuimarisha uchumi kwa kuwapa ajira raia wanaowafuga.